Siku moja wakati wafanya kazi walipokuwa wananapaka rango juu ya mnara wa taa ilitokea ajali ambayo haitasahaulika kwa wale walioiona. Wakiwa juu kiasi cha mita 20, mmoja wao alirudi nyuma kupita kiasi na kuyumba kabla wenzie hawajaweza kumdaka aliporomoka kwenda chini akiwa na uhakika wa kufa kwennye mawe yaliyokuwepo pale.
wenzie walishuka upesi . walipigwa butwaa walipomkuta yule mtu akiwa ameduwaa lakini amelala chini bila kudhurika.
muujiza huu ulisababishwa na kondoo waliokuwa wwakila chini ya ule mnala. Mwili laini wenye sufu wa kondoo mkubwa, ulituliza anguko na mtu yule aliyekuwa katika hatari ya kufa, badala ya kufa mtu yule alikuwa ameduwaa; lakini kondoo alikuwa amekufa
mfanyakazi aliyeanguka ni mimi na wewe . kondoo aliyekufa nawakilisha kile ambacho Yesu, Mwana-Kondoo wa Mungu, alikifanya kutuokoa kutoka kifo cha uhakika . Wanadamu wote walikabiliwa na kifo cha hakika baada ya Adamu na Hawa kuasi na kutengwa na mti wa Uzima. Mwanzo 3:22-24 inatueleza kuwa Mungu alimtenga mwanadamu na chanzo cha uzima baada ya kutenda dhambi ili asiishi milele. Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;
23 kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
24 Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.
hiyo ndiyo adhabu ambayo adamu alikuwa ameambiwa kabla ya kuasi.
lakini Mungu liwapatia habari njema alipomwambia nyoka "nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke na kati ya uzao wako na uzao wake ; na huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino," ( MWANZO 3:15)
Mungu alitabiri kuwa pambano lililokuwa limeanza mbinguni, lingeendela. Nyoka angejeruhi uzao wa mwanamke, yaani Kristo, jeraha lingeuma, lakini lisingeua. Kwa wakati wake, Kristo naye angeponda kicha cha nyoka na kumrejesha mwanadamu katika familia ya Mungu. Mwanakondoo wa Mungu alipaswa kutolewa kafara ili kupata haki ya kumharibu ibilisi na kazi zake. Tanfu mwanzo wa ulimwengu, mpango wa wokovu ulikuwa tayari ili kumhakikishia kila mmoja wetu nafasi ya kuepuka kupotea milele, ambayo ndiyo adhabu kwa ajili ya dhambi.
sasa angalia Biblia inavyoeleza jinsi mpamngo huu unavyoweza kufanya kazi katika maisha yako.
1.Je, Kristo, Mwana wa Mungu, amekuwapo kwa muda gani
Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;
23 kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
24 Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima. (MIKA 5:2
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.(yN 17:5)
Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi.
2 Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu. (Zab 90:1,2)
2.Biblia onasema Yesu yaani neno ni nani?
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli. (yn 1:1,14)
3.Lakini,Je,Mungu ananijali kweli?
Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. (isaya 43:4)
Bwana alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu. (Yer 31:3)
4.Je, Mungu ameuoneshaje upendo wake kwetu

Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. (Yn 3:16)
Katika hili pendo la Mungu lilionekana kwetu, kwamba Mungu amemtuma Mwanawe pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kwa yeye.
10 Hili ndilo pendo, si kwamba sisi tulimpenda Mungu, bali kwamba yeye alitupenda sisi, akamtuma Mwanawe kuwa kipatanisho kwa dhambi zetu. (1 Yn 4:9,10)
Kwakuwa natupenda sana , yuko tayari kuona Mwanawe akiteseka na kufa kuliko kutenganishwa na wewe na mimi milele zote, hatutaweza kuelewa lakini alifanya hivi kwa ajili yangu na wewe.
5.Angewezaje kunipenda mtu kama mimi?
Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi. (Rum 5:8)
Hakika siyo kwa sababu nimestahili. hakuna mmoja kati yetu anayestahili chochote isipokuwa mshahara wa dhambi ambao ni mauti.
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu(Rum 6:23)
6. Je, Kifo chake kinanisaidia nini?
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake; Yn 1:12
Kristo alikufa ili kulipa gharama ya adhabu ya kifo dhidi yangu. alizaliwa kama mwanadamu ili afe kifo ambachomimi nastahili kisha yale yote anayostahili yeye amenipa mimi?
Kifo cha Yesu kilikuwa ni malipo kamili kwa ajili ya kila dhabi ambayo ungeweza kuifanya, unapoikubali na kuipokea zawadi hii ya ajabu. unakuwa sehemu ya familia ya Yesu mwenyewe
7.Ninawezaje kumpokea na kutoka katika mauti kuingia uzimani
A.mimi mwenye dhambi" wote wametenda dhambi"(Rum 3:23)
B. Niko hatarini kufa "Mshahara wa dhambi ni mauti" Rum 6:23
C.siwezi kujiokoa "Pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lolote" Yn 2:9
Baada ya toba hiyo amini mambo matatu
inaendelea...........

No comments:
Post a Comment