"Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi" yak 4:17
"Dhambi ni uasi" 1yoh 3:4. 
"Atendaye dhambi ni wa ibilisi" 1 yoh 3:8
"Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima." Mwa 3:22,24.

kula tunda walilokatazwa kuliwafanya Adamu na Hawa kuwa washiria wa shetani, ambaye ni adui mkuu wa Mungu.

9.Je, Biblia hufunua mambo gani ya ajabu juu ya mbinu za shetani katika kuumiza kudanganya , kukatisha tamaa na kuangamiza watu wa Mungu?